Nafasi ya Kazi International School of Tanganyika (IST)
Administrative Officer – International School of Tanganyika (IST)
Mahali: Dar es Salaam, Tanzania
Mwajiri: International School of Tanganyika (IST)
Tarehe ya Kuanza Kazi: 01 Agosti 2025
Working Hours: Full-time
International School of Tanganyika (IST) inatafuta Afisa Tawala (Administrative Officer) mwenye uzoefu wa kusimamia shughuli za mapokezi (front office), mawasiliano ya simu, usambazaji wa barua, na kutoa msaada wa jumla wa kiutawala. Anayepaswa kuripoti kwa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu. Nafasi hii inahitaji Shahada ya Kwanza katika Utawala au fani nyingine, pamoja na uzoefo usiopungua miaka 5 katika majukumu kama hayo, ujuzi wa kompyuta (hasa Google Workspace), na uwezo mzuri wa mawasiliano na huduma kwa wateja. Tarehe ya kuanza kazi ni Agosti 1, 2025.
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Waombaji wanatakiwa kuwa raia wa Tanzania. Maombi yaambatane na barua ya maelezo ya nia ya kazi na CV ya kisasa pamoja na majina na mawasiliano ya waamuzi watatu.
Mwisho wa kutuma maombi: Ijumaa, 3 Mei 2025 saa 9:00 alasiri
Tuma kwa: staffrecruitment@istafrica.com